Bwana Mungu Nashangaa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Bwana Mungu Nashangaa - Beatrice Mwaipaja
...
1.bwana mungu nashangaa kabisa nkitazama kama vilivyo nyota ngurumo vitu vingi vyote viumbwaavyo kwa uwezo wako.
roho yangu na ikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu×2
2. Nkitembea Kote duniani ,ndege huimba
nawasikia ,milima hupendeza macho sana,upepo nao nafurahia.
roho yangu naikuimbie jinsi ww ulivyo mkuu...
00
4. nkikumbuka kama wewe mungu ulivyo mpleleka mwanao afe azichukue dhambi zetu kuyatambua n vigumu mno.
roho yangu naikuimbie jinsi ww ulivyo mkuuu..
5.yesu mokozi utakaporudi kunchukua kwenda mbingun nitafurahi(nitashukuru) na kuimba milelee wote wajue jinsi ulivyo.
roho yangu naikumbie jinsi wewe ulivyo mkuu..