Dhahabu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Dhahabu - Beatrice Mwaipaja
...
nilipokua nipo chini mavumbin walinikataa waliniona ni mavumbi tu. walinikataa nilikua sina thamani kwao.waliijua jana yangu hawakujua leo yangu.waliniona ni maskini,waliniona sina thamani kwao,waliniona sina lolote....ila walichokosea haohao.waliijua jana yangu hao hawakujua leo yangu wanadamu...leo nang'ara kama dhahabu.acha ninga'are kama dhahabu. mimi mimi nidhahabu mimi ni dhahabux4.usiidharau Leo ya MTU maana hauijui kesho yake,maana hauijui hatima yake.hatima ya mtu imkononi mwa mungu alie masikini leo kesho huyo ndie tajiri unaemuona chini leoleo kesho atainuliwa na MUNGU .hatima ya mtu imkononi mwa mungu baba kesho ya mtu imkononi mwake baba daudi alikua mmchunga kondoo porini daudi alikua mchunnga kondoo daudi nani alijua daudi ni mfalme nani alijua daudi ni mtu mkubwa kumbe unaweza pitia leo kwa utukufu wa kesho kumbe unaweza. pitia Leo hiyo ni heshma kwa mungu atakapo kuja kukuinua watakushangaa haa usije idharau Leo ya mtu