Kumbe ni kwa neema tu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Kumbe ni kwa neema tu - Beatrice Mwaipaja
...
kumbe ni kwa neema tuu !kumbe ! ni kwa neema! Neema neema ya mungu imetuhifadhi×2
Asubuhi na mchana wewe! jioni na usiku angalia hiyo we mpendwa ilivyo tubebaaa
Tulimpa nini mungu sisi hata tuwe jinsi tulivyo ila ni neema! neema! imetubebaa
Sio kwa matendo yetu, Sio kwa uzuri wetuuu tumekumbukwa sisi ni neema ni neema tuuu
Kwani wangapi ? walikuwepo wewe na leo hawapo tenaa ila ni neema neema imetubebaa..
Tuitunze neema ! tuiheshimu neema !ni kweli tumepewa neema mpendwa tusichezee...
Neema ya mungu Neema,Neema ya baba neema,neeema neeema aaaah!
chorus !!!
kumbe ni kwa neema tu kumbe ni kwa neema! neema neema ya mungu ni neema imetuhifadhi ×2
versi
Tumechaguliwa sisi ni kwa neema! tumekumbukwa sisi neema! wangapi? wanaitamani neema hii !! ipo mbali nayo..
Mungu ametupendaa! mungu ametuchagua sisi hata wokovu tulio nao ni neema ni neema tuu!!
Tuitunze neema tuiheshimu neemaa! ni kweli tumepewa neema mpendwa tusichezee
Kuna mambo yanatokea kuna jambo linatokea kwetu,Sio kwa akili zetu sisi ni neema tuu
hata uzima tulio nao sisi afya njema tumepewa na mungu ni neema neema aaaah!!
Neema ina tubeba wote! Neema ipo kwa wote yeye wakati ukifika neema itakufikia tuu
Imekumbukwa familia yangu Mungu ameibeba leo imeonekana machoni pa watu
Sio kwamba inafaasana si kwamba ni nzuri machoni pa watu kupita zote ila ni neema tu
chorus
Neema ya mungu Neema neema ya baba neema ! neema! aaaa!!
kumbe ni kwa neema tu(Mataifa wanaimba)
kumbe ni kwa neema(neema! neema! neemaa!)
neema ! neema neema ya mungu ni neema imetuhifadhi........