Wewe Tu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Wewe Tu - B2K Mnyama
...
si njia sahihi baby ,ukijua umependwa uwe mpweke ww
tumia nafasi babe ukijua umependwa nawe upende
kwa stahili utamjuaje mpnz anakupenda ww
tumia nafasi hii babe ujifunze kuhandle utaishi mwenywe
unapenda sana kununu utahandle saa ngapi
na nikirudi Salam hakuna tunapendwa wangapi
nakupendaa wewe tu mama Mama Mae
nifanyie nafuu mama mama mae
nakupendaa wewe tu mama mama mae
nifanyie nafuu mama mama mama mae
...............
kunasiku nilichelewa kurudi aujui nilikua wapi ausemi
mwenzio nilikufanyia kusudi inamaa thaman yangu auiyoni
unashida na me kwani mbna sielewii mami
wakunieleza ni me mammy nijue unawaz ni
unapenda sana kununu utahandle saa ngapi
na nikirudi Salam hakuna tunapendwa wangapi
nakupendaa wewe tu mama mama mama mae
nifanyie nafuu mama mama mama mae nakupendaa wewe tu mama mama mama mae
nifanyie nafuu mama mama mama mae
mama naona naona mapenz maji yamoto yananichoma mamama
Mama mama mamaMae
roho inaniuma niuma ata nisipo fanya kosa we unanuna ma ma
mama mama mama mae
.......... ....,..... .....