Tumekubaliana ft. Lody Music Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tumekubaliana ft. Lody Music - B2K Mnyama
...
star beat boyyyy aaaah Tizo touches baby,,,,,
Unakumbuka mwanzo,ulinidanganya jina aah
Ukaniona mwongo sielewekii,
mmmh na kumbe mi ndo chanzo cha kukupa heshima,
leo unaitwa mama hapo vipi?,,,
Sasa nikudanganye vipi,mpole mwenyew uko ka cute,na sikika mashabiki napenda kukuona tu.,varandani kwenye kiti muda wowote unaichapa mechi,kwa kifupi upo fit acha tu~enjoy tu,
sikuizi yaani namegeshwa tonge, ieeh
mie nalishwa yaani mambo pambe,iieeh
hata kukucheat baby ntaanzia wapi, mi hadi naogopa
uko mtaani wacha waone donge ieeeh
nisikuguse labda iwe pombe ieeh
hata kukupiga baby ntaanzia wap mie hadi naogopa,,,,
Chorus:
Tumekubaliana Tunapendana
hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana Tunapendana
Hatuwezii achana mpaka kiama
Verse 2: Mmmh mmmh Lody music on this one mmmh,
Naona makopa kopa yanavyoleta hisia,Kukucheat haiwezekani unanipatia sana honey,
Hadi naogopa ogopa wenye mali zao dear,
Sitaki kukutuma hata dukani ,unanipatia sana yaani,
Hunaga hata kipele sioni kasoro Mlaini,
Tukilaga ugali na kandoro kwako fine,
Nakosa leo ila tomorrow unanisamehe
Mi na wewe milele your my baby yooh!
your mine,hatupashagi maviporo baby why me,,mapenzi yananizidia mwenzenu aaaaah aaah ni wewe unayenifanya nisikie raha, aah unaniweza sana ,hadi naogopa kuchepuka,
Aaaah haki ni wewe utakayenifanya nikashinde bar utakaponiacha mama,
Nahisi akili itacharuka,,aaaah aaah
Chorus;
Tumekubaliana Tunapendana
hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana Tunapendanaa
Hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana Tunapendanaa
Hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana Tunapendanaa
Hatuwezi achana mpaka kiama ......