Tunaendana Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tunaendana - B2K Mnyama
...
Haijalishi unafanya nin, unakosa gain,na umeshindaje nyumbani,,,,ivo we hujali gauni unafanya nini,,na umekosa nini nyumbani,,mwenzako Roho inauma ,,kuishi kwa picha na chat nikuambie, nimeambiwa mambo unayofanyae eeeh,,,ila sijui jibu gani niamue!!
CHORUS
tunaendana mi na wewe×4
shida kuukumu kosa,,ndani ya kosa aah inauma
mi najibu makosa, najua kosa langu nikwambie,,
najua nimekosa nielewe,,naitaji kuomba msamaha,,,na pia nyota yangu ni wewe,,,,
naitaji kupata msamaha
CHORUS
tunaendana mna i na wew× 4
si tuliapana hatutatengana mpenzi wangu,,na hayo ndio mapenzi tulo Fanyana,,
haikupita masaa umeshindaje mpenzi wangu,,na kama kuna shida tuambiane,,
et nikuache umependezana ha
ugeuki malove,,,na unajua siwezi kukupoteza ama haugeuki ma love,,
mwenzio roho inauma,,kuishi kwa picha na chat nikuambie,,nimeambiwa mambo unafanya eeeeh,,,ila sijui jibu gani niamue
tunaendana mi na wewe ×4
umesahau penzi langu,,,et nikuandikie na nyimbo unataka kuwa kama mim,,ndio mwanzo penzi sumu,leo hautaki kuniona nimechukukiwa kama nini!
mwenzio roho inauma ,,kuishi kwa picha na chat nikuambie,,nimeambiwa mambo unayofanya eeh,,ila sijui jibu gani niamue......
by,,,,jacklove