Shika ft. Maua Sama Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Shika ft. Maua Sama - Darassa
...
Mguu pande mguu sawa, tembea tembea,
Nataka uwanja nitambe,sogea sogea
wako wapi wapambe, oo kapotea kapotea
ngoma isambe hiyo, kidedea kidedea
masharti ya mganga wameyakosea
wamekuja kuzima kumbe wanachochea
wanaupepea Moto kolea kolea
unazani me ni wa kuchezea chezea
zima radio ya mbao,(haya) zima na mtandao (haya)
Sema nao piga bao, sisi so sa saizi yao
vunja vigenge kimbiza mwenge kama desturi
huu so usawa wa kucheza umevalia msuli
utatumwagia radhi utatuharibia shughuli
hunijui vizuri ulizia wananiitaga nguli
kama unaimba imba nikuitikie
ngoma inanoga kucheza mtu akupigie
ucheke ulie jishike jiachie mwenzangu na mie kaa chini utulie
(shika kamata sukuma twende ) X4
shika(shika) kamata(kamata) shika(shika) sukuma(twede) x 2
mbuzi kafungwa kwenye chumba cha reli
bosi kaamka chumba cha house girl
bwana shamba baiskeli vipi sheli
kiwanja hakiuzwi ogopa matapeli
survivor kwenye jangwa komando
ukijijua panya ukatafute pango
endelea endelea kushikia bango
hatukuvui nguo tunavua majigambo
jembe la kulima, tifua tifua unavua Papa itakuwa kamba dagaa kibua
mshike mshike segere langu unalijua
ngoma inoge kelele zangu mpaka napasua
panga pangua, ota otea, unataka chukua
ngoja ngojea, tokea ,sogea,pokea,ongea usingoje usimuliwe una macho ya kujionea
kama unaimba imba nikuitikie
ngoma inanoga kucheza mtu akupigie
ucheke ulie jishike jiachie mwenzangu na mie kaa chini utulie
(shika kamata sukuma twende ) X4
shika(shika) kamata(kamata)(shika) sukuma(twede) x 2
mbuzi kafungwa kwenye chuma cha reli
boss kaamka chumba cha house girl
bwana shamba baiskeli vipi sheli
kiwanja hakiuzwi ogopa matapeli.
classic music
by zeddy