Babilon Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Babilon - Rich Mavoko
...
Natoka bongo wala si Congo
Mida ya fisi na na maza tunauza gongo
life rofombo watu wananyongo
upate kitu kidogo upigwe dongo
usije force battle mi ni business man
Utacheza mdaku kama utashindwa shine
wanaishi babilon----sisi tu
jifanye unanguvu upewe----wazimu
wanasema kelele dingilii mwenzake churaa
ukijaribu kuforce kingiii--- utanyimwa ad kulaa
mwanangu we ukitoka usirudii
Fanya kitu upate dish tuishi gud
watakupa maseke kusudi
ili tu wakutoe kwenye mood
kila sehemu ninayotimba wahusika wanajificha masnitch wanazima taaa
nikiwa ndani na manigger hawa mambwiga walifika sio lazima watashangaa
CHORUS
Kwetu hatuwezi kuvumilia ngumi na panga mkononi
ukiendekeza mapenzi utakwanguliwa uwe bwege mtozeni
nginjanginja nachinja usije ukayumba
kama unakuja na ndinga lifiche kwenye jumba
chakwanza mm nikipataee *2
nanyumban kwa maza ee*2 lazima nizimwage
mwanangu we ukitoka usirudi
Fanya kitu upate dish tuish gud
watakupa maseke kusud
ili tu wakutoe kwenye mood
kila sehemu niyatimba wahusika wanajificha masnitch wanazima taa
nikiwa ndan na manigger hawa mambwiga waliofika lazima tu washangaa
CHORUS