Ha2elewi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ha2elewi - B2K
...
vanny music
eazy
star beat music
TOUCH touch
macode you killin' it
Leo tupilia mbali uzuri kweli umependeza
Usijisahau maana wahuni hawajui hata kutongoza
Nasiye mapacha mami leo hii tumependeza
Naukichoka sema nje tumepaki ndinga
unataka domple ama bagger
piazza ama bagger
vyote nitakupatia
niambie nini unapendaga jimwage tu mamaa
usihofu nitagharamia
unataka domple ama bagger
piazza ama bagger
vyote nitakupatia
niambie nini unapendaga jimwage tu mamaa
HATUELEWI HATUELEWI × 8
Nilipaparika ile kichizi
Nilisahau hata unaitwa nani?
Nitataka data kichizi ila usihofu nipo naye company
Nooh ! kwa michezo segere huko nyuma ukicheza sindimba
Liyumbishe waone gere
mafundi wa kukwichi wanaVIBE
mara goma lipo high way
tumeswitch tupo club kimesha waah!
Manigga wananyambia
Twende nje tukachome mi nakacha
usiku huu babe
Tuondoke amatubaki
Mi sina makuu nawe
Nambie unataka nini?
Mara unataka domple ama bagger piazza ama bagger
vyote nitakupatia
niambie nini unapendaga jimwage tu mamaa
usihofu nitagharamia
unataka domple ama bagger,piazza ama bagger

is another one..
IG@Avenya classic.