Sondeka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sondeka - Naiboi
...
Usibishane na babu wewe
Tunasondeka iyee, tunasondeka
Hii ni tamu bwana, Tunasondeka (kama wali wa mnazi) tunasondeka
Rixx (Matatizo), Tunasondeka iyee, tunasondeka
Ah Naiboi Tunasondeka ooh Lord, tunasondeka (Tunarekebisha)
Tabia ya kuagiza pombe, Na si wewe unalipa (Tunasondeka)
Umekuja date na mabeste zako na sijawaalika
Njaro za kuingia chumbani mwangu, Na mlango hujabisha (Tunasondeka)
Unang'ara ndula zangu unaziposti kwa Insta
Umenivalia wiggy tamu kumbe ndani ni matuta (Tunasondeka)
Ah kumbe pia haga feki, tulidhani una figa (Ok)
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Tunasondeka iyee, tunasondeka (Ikileta shida)
Tunasondeka ooh Lord, tunasondeka (Tunarekebisha)
Tunasondeka iyee, tunasondeka (Ikileta noma)
Tunasondeka ooh Lord, tunasondeka (Tunarekebisha)
Amelala mpaka saa tisa ni kama kwangu ni kwao
Na ng'ombe saba na mbuzi sita sijapeleka kwao
Si uliambiwa shimoni moto, mbona sasa unawika?(Unachomeka!)
Tukaambiwa ni shoti moja we ukichocha ni sita
Ambia huyo politician next time akituona (Kitaeleweka!)
Tangu tukuseti MCA, mtaani uko MIA (Ok)
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Si watu wana tabia mbaya
Si muko na matabia mbaya
Tunasondeka, tunasondeka (Maisha ya vipindi)
Tunasondeka aha, tunasondeka (Takataka labish)
Tunasondeka yeah, tunasondeka (Ati sambaze nieke beti)
Tunasondeka aha, tunasondeka
Break it down down down
Waambie nimekam ah Naiboi nimekam eeh
Mbogi ya Kenya imekam
Waambie tumekam na ubaya tumekam eeh
Mbogi ya Kenya imekam
Waambie nimekam ah Naiboi nimekam eeh
Mbogi ya Kenya imekam
Waambie tumekam ah Naiboi nimekam eeh
Wanaofanya wengi wanaojua wachache
Tunawalainisha!