Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2019

Lyrics

Sondeka (Part 2) ft. All Stars - Naiboi

...

Eyoo ni DJ Shiti 

Aka Kolokolo Munyanye

Na leo tunataka kusondeka 

Tabia tofauti tofauti 

Ambayo hatupendi kwa hii jamii

Tabia ya maslayqueen 

Kula pesa ya wanaume 

Hata ya wale wa mjengo

Mtu mzima kukojoa kwa matandiko  Halafu anawekelea watoto

Kutumia watu 'Please Call Me' 

Na uko na iPhone, Shindwe!


Rixx, finya hiyo kitu(Haa, Shaka) Usibishane na babu wewe!

Tunasondeka iyee, tunasondeka(Are you ready?)

Tunasondeka, tunasondeka

Na tuko tu Pacho kwani boss(Rixx Matatizo)

Tunasondeka iyee, tunasondeka(Ah Naiboi)

Tunasondeka, tunasondeka Tunarekebisha


[Exray- Boondocks Gang]

Are you ready?(Nai Nai)

Are you ready?(Nai Nai)

Nikuje?(Hapana) 

Nikuje?(Hapana)

Tunasondeka kwa charger hakuna socket Si tu charge kwanza nishalipa token Charger ya smartphone sina pin ndogo Hakuna mangoko na hapa mi ndio jogoo


 Niko na idea, chunga utaingia

Si rahisi uliza hadi Nadia

Mmmh mapunyeto saka una dhiki

Na mangeus wako ni mashabiki

Ikikataa there is no regretting

Tuna i-switch back to factory setting


Na mi ndo dawa kwa hizi factory

zenyu

Nawaka ka star so mashawties

wenyu

Wamenifuata mtaa, wanasoma

menyu

Wamenipata njaa nadishi chakula

zenyu

Leo nitaisondeka na hapa ndio

venue

Chapati kalia mi nikicheza na

ndengu


Onyesha hiyo mbegu,

wee mi si kitabu

Ah siwezi someka, sipigi kavu

Ah siwezi chomeka(Boom)

Na bado naisondeka mpaka che 

Naipiga na naipika ilie kama fe

Ah back-up the place kama mende kwa giza

Bless so royal, alikuwa na mikono ya miujiza(Riswa!)

Nice pretty face with a bami ya Africa

Leo ni kuisondeka kama mpira LaLiGa


[Fena Gitu]

Tunaisafisha mitambo iyee

Tukizipeleka Wordwide

Ah Naiboi fanya mambo

Yeah we pray for your long life

Fix it

Naiboi Wasanii mpaka lini?

Kukaliwa chini Our whole lives ooh no Round hii tumekam kuwakomesha

Round this tumekam kuwasomesha Tunasondeka, tunasondeka

Eeeh, domo domo mpaka lini?

Ah usibishane na nyanya yao, unaboesha! Tukisondeka, Tunasondeka tunasondeka Tunasafisha mitambo,

Tunasondeka tunasondeka

Nai mpaka ng'ambo,

Tunasondeka tunasondeka

Sawa bless them Kingston,

Tunasondeka tunasondeka Tunarekebisha!


[Benzema aka Alejandro - Ochungulo family]

Alejandro, fisi fisi fisi fisi fisi

Alejandro, fisi fisi fisi fisi fisi

Pima miti utajua ni ya mluja

Shot nakupea moja ka ya Drogba Kinyama nyama itabidi umengoja

Kuna line na hujapiga hata order

Uliota na kitu inakaa ka nyoka

Haina macho lakini inakuona

Inapenda kuingia na kutoka

Inapenda joto saa ya mboka


[Shiko Femi One]

Kevo anadai ananidai na hana ndae

Eti alipe Uber,

Tunasondeka! Kwa DM wanakaza wananisend nudes

Waone boobs na mathutha(Ate what?) Behind the scenes nimecarry alot

Napiga matot kwenye parking lot

Ah, mbele mbele nawapita na force

Sidigi nyuma niwe chumvi kama

bibi ya Lot

Sikuli doh ni kusave niwai shamba Namanga

Kwa border ndani ya ndae

si unajua luku ni pamba

Kwa rap we ni pekedo vile nimewabamba Niite Femi Uno and you know vile nawafanyanga


[Mordecai - H_art the Band]

Tumependa sana mikiki na mambo ya dunia

Mambo ya kujaza maji ndani ya gunia Tulia, vulia lazima kuyaogea

Ujana ni moshi ndio maana unavutia Raha jipe mwenyewe

Juu hakuna wa kulinganishwa nawe Ukitingisha kiberiti Chunga tu kulipua baruti mama

Nia ni ile ile Asilimia vile vile

Kuja nawa mbona uje tule leo 

Watapiga vigelegele 

Na kesho wakusulubishe

Lazima tuwarekebishe 

Ndio maana Tunasondeka, tunasondeka  Oooh ikileta shida

Tunasondeka tunasondeka 


[V6 aka Visita]

Vruum! Gari ni biggy gurudumu(Wivu) Hapo nyuma guza pumblu bum(Wivu) Mwenye wivu ajichapa uchungu

(Ni malaria uyo)

Piga umbu Doom! Party namada, ka hunipati jo bila panty balaa

Basi kata ka nyama haina mifupa dada Masomo niko sawa si nimewasoma ala Ni satisfy, nikupe certificate haha

Ah-ah baby kamata madingo

Happy to be rumored I drove your ego

Na hivi ndo wataheshimu maandiko

Boy Naiboi ame ashame the Devil


[Khaligraph Jones aka Papa Jones]

Kwa social media unatutesa 

We ni baller unatuthago 

Vile umemako pesa(Tunasondeka)

Ati zako ni ma 5 star

Na mtaa bado we hulalia Double decker(Tunasondeka)

Ati huwezi kula skuma

Umezoea chakula  Ya Ole Sereni(Tunasondeka)

Kumbe we ni client

Ile baze ya Nyaga 

Chapo ndondo 

Pia hukula na deni(Tunasondeka)


Ati juzi ulikuwa Holiday Dubai 

Sherehe na ni kaa 

Si hatujui(Tunasondeka)

But niaje tena ulionekana 

Nyama Kima ndani ya bus 

za kwenda Kitui(Tunasondeka)

Ati umeshika gari mbichi 

Ka zile sisi huona

kwa movie man (Tunasondeka!)


Hiyo ni vako 

Si we hubebwa na Mwangi 

Ju najua uko nduthi gang(Tunasondeka) Ati we na Uhuru  Mko related 

So unataka tukuskize fiti(Tunasondeka)

Thats a lie 

Ju labda msee anakujua 

Ni Omwami ama Dj Shiti(Tunasondeka) MCSK juzi wamentumia 

Thao mbili soo tano(Tunasondeka)

So naplan kuwavuruga 

Hizo peanuts hatutaki 

Ero kamano(Tunasondeka)

Naiboi to the World No Mpasho,

Middle finger to -the Paparazzi(Tunasondeka!)


Kujifanya hautujui  Si ni ufala

Vijana muwache mihadarati(Tunasondeka)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status