Watu Wake Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Watu Wake - Naiboi
...
Nawatu wake
Ha achi watu wake
Sir jah na watu wake
Ha achi watu wake
Mungu na watu wake
Ha achi watu wake
Watu wake
Ha achi watu wake
Matha Fulani amekopa pesa Fulani
Achangishe alishe watoto wa jirani
Buda Fulani ametoka biz Fulani
Na worry yake ni asi bambwe na maaskari (Some don’t protect and serve no more)
Kuna Ras Fulani amekamatwa na mume wa Fulani
Excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi (omollo jamach)
(Oh randa inapigwa safi bro)
So what is love question mark when its right there on your face
So what is love question mark when its right there on your face
On your face. (Iriz waririz)
Watu wake
Ha achi watu wake
Mungu na watu wake
Ha achi watu wake
Sir jah na watu wake
Ha achi watu wake
Mungu na Watu wake
Ha achi watu wake (Iriz waririz)
Iriz waririz
Niga Fulani amevuka nakashamba ya Fulani
Na ana kana mbele ya chi hadharini
Manzi Fulani amekula fare Fulani
Navile boi child amejipanga hapa nyumbani (Tusidanganyane yoo)
Najua kura Fulani zitapigwa na watu Fulani
Oh matokeo itaonyesha mtu Fulani (Nika hatuna say no more)
So what is love question mark when its right there on your face
So what is love question mark right there on your face
Iriz waririz
Watu wake
Ha achi watu wake
Mungu na watu wake
Ha achi watu wake
Sir jah na watu wake
Ha achi watu wake
Mungu na Watu wake
Ha achi watu wake
Iriz waririz
Iriz waririz