I Love You Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
I Love You - B2K Mnyama
...
Onana nana na! Star Big Boy!
Aa! Mabuu! Mi nakwambia usibabaike
Ee! Matu yale ya nje wala usishike
Njo! Kwa juu uko kwa chini watu wasikushike
Mama! I love you yakusikia we yasikutishe
Kwanza na tunapita mbele yao Wadhibitishe ubora woa
Watupige na picha shauri lao
Kwanza kwa sifa we ni wao
Na tunapita mbele yao hivo
Wadhibitishe ubora wao
Watupige na picha shauri lao
Kwanza kwa sifa we ni wao
(Wakitupeleka juu, I love you
Wakitushusha chini, I need you)*2 iiiiiii
Jua kele mpaka waisome number
Wote mabaka twakomeshe wanga
Viele ele twakoseshe number
Wakose nguvu wataza kujigamba
Na tena wee! Ntakesha nkivimba na wewe
Vya utamu ni vile na we
Vyenye na ufundi unaumbiwa mwenyewe mabuu
Kwanza! Na tunapita mbele yao
Wadhibitishe ubora wao
Watupige na picha shauri lao
Kwanza kwa sifa we ni wao
Natunapita mbele yao hivo
Wadhibitishe ubora wao
Watupige na picha shauri lao
Kwanza kwa sifa we ni wao
(Wakitupeleka juu, I love you
Wakitushusha chini, I need you)