Hakuna Kulala Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Hakuna Kulala - Zuchu
...
Namvuta faraghani tumo tubutubu ndan
Namtazama simwishi namkanda mambavuni
Kayainua majeshi vita nichague mimi
aanze baghladeshi amalizie Sudan
lalalalalalaaaaa hmmm hmmm hmmm lalaaaaaa
twanozaaa na hatoshekii
kaniwekaa kifuani
hatingiishiki haruki
yuhoi waataabani
nampa na vya kurithiii
na mizungu ya kigeniii
Hakuna kulala hakuna kulala hakuna kulala asubuhi itukutee
Hakuna kulala hakuna kulala hakuna kulala na machweo yatukuteee
Mhhhhh siwezi Kuficha hisiaa
maradhi yataniumbuaa
ni zimwi linalonijua
kanila Kanu maliziaaa
mboraa katimilikii
kwa pasii za resi resi
hapitagii njia fupi
shoti katie za nini
nampa na vya kurithii
na mizungu ya kigeni
Hakuna kulala hakuna kulala hakuna kulala asubuhi itukuteee
Hakuna kulala hakuna kulala hakuna kulala na machweo yatukuteee