Number Moja ft. Jay Melody Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Number Moja ft. Jay Melody - Smile The Genius
...
mwenzenu natamba,natambia mapenzi,najiona mwamba mwamba wa mapezi,nimeishika namba namba ya mapenzi muda wa moyo kuringa kuringia mapenzi.raha sasa simvimbii MTU penzi lipo hapa Raha ya penzi la MTU Hali na mashaka.visomo na mchinje kuku ..na kuapatapa.penzi tushachezea huku mambo ni swadakta..ooh Babi feel free to love lazizi ooh baby pumzika love habibi