Yapite ft. Saraphina Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Yapite ft. Saraphina - Smile The Genius
...
Hello, mambo vipi, habari za cku nyingi ?love
umepoteatea ckuoni
Oooh hello, nipo freshi, mwenzangu we u hali Gani
mmmmmh, cjapoteatea Mimi nipo ?maula
Tuache yote si najua mwenzio nilivyokumisss
Pia tulivyoachana kama tumeuliana
Oh no niseme nini kati yangu Mimi na we nani aliye tia doa
Maana ni wewe doh sababu kuachana kwetu
CHORUS
sio Mimi ila wewe nje ulikuwa na bwana ulinicheat mbona
Hasa kwa nini ulinidanganya kuthamini uwepo wangu na vingi mbona
Sio Mimi ila wewe ulikuwa na msichana tena niliwaona
kwa ushahidi ulificha nn kipya nisicho kijua
Tuache yapite ama yarudiwe
Yapite ama yarudiwe
Tuache yapite ama yarudiwe
yapite ama yarudiwe
Ila we mwanaume sio siri uliniweza
Yaani sitokusahau ooh no
yeh
Yaani we mwanamke ulivyo nifumbaza
ila cjakusahau oh no no
Kusema kweli nilikupenda ila mwengine meshakuja kuziba pengo
mwenzaio Bado ninakupenda nipo tayari kuwa spare tairi
Nikisema turudiane mwenzangu utamweka wapi
Ama utamcheat cheat kama ulivyo nicheat mwanzo

yapite.......