Anakudanganya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Anakudanganya - Smile The Genius
...
aah huyu muangalie hana mapenzi anakudanganyaa hebu muangalie kma moyoni ana mapenzi sanaa anajifanya kama hanaga hatia yani mple pole jambo dogo anakurithia kma mpole pole aaanha ukikosea ww atakuomba yeye samahani hani mapenzi kedekedi atajifanya kma sharukhani khani atajifanya bwana ushauri eti anaona mbali weka hakiba mara acha mashoga ushauri wa kidaktari anakudanya huyo huyo×3 kupiga simu kila muda et ndo anatamani kusikia saut yako whatsapp emoj makopa makopa et ndo sili silali kwa ajili yko atajifanya kukumbusha bebi ushakula et kunywa maji mengi kabla ya kulala et ndo ameoza amekufa kwako fala muongo atakupa mapenzi ya pwani mpaka bara ili apate tendo ama anataka hela muongooo