Twafanana Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Twafanana - Platform
...
Mmmmh mmmmh mmmmh
Mmmmh mmmmh mmmmnh
Masimango yani chungu nzima
Ukanionyesha madharau
Kumbe nikijishusha ye mwenzangu
Ananishusha dau
Nilichopata nilikupa aah
Japo uliniona mi nyang'au
Yani ulinifubaza nichakaza sitamaniki tena
Hivi sasa napendwa aah eeh
Tena nadekezwa aah eeh
Kibanda nshajenga aah eeh
Tena tushaanza kufanana
Ye ndo mama mi Baba (Twafanana twafanana twafanana)
Uuuh baby ooh (Twafanana twafanana twafanana)
Mi ni utambi na ye ndo koroboi (Twafanana twafanana twafanana)
Ye ndo pete kidole sichomoi (Twafanana twafanana twafanana)
Uuuh baby ooh Mmmh
Mi na yeye pika pakua
Sasa wajumbe wa nini wajisumbua
Au ndo wajifanya unanijuwa sana Makapi ya nini nishakutua
Sasa ya nini kuficha siri
Anajuwa tena ni mahiri
Mapaochopocho ona nanawiri
Ona nanawiri
Mimi kwake kindagateni
Ndio kwanza nasoma a a
Kama mutoto siongei
Tena nazidi panda bei iyo wewe
Hivi sasa napendwa aah eeh
Tena nadekezwa aah eeh
Kibanda nishajenga aah eeh
Tena tushaanza kufanana
Ye ndo mama mi Baba (Twafandana twafanana twafanana)
Uuuh baby ooh (Twafanana twafanana twafanana)
Mi ni utambi na ye ndo koroboi (Twafanana twafanana twafanana)
Ye ndo pete kidole sichomoi (Twafanana twafanana twafanana)
Uuuh baby ooh
Fanana twafanana
Baby Fanana twafanana uuyeee
Twafanana fanana