Who Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Who - Platform
...
aaah mmhhh mmhhh
yeah
aaah wooh wooh oooo
wanasema mapenzi uchafu
ila kwangu nakataa katu katuu
nilisha fanya huo uchafuu
ila bado nikaambulia kiatuu
licha ya kutupanga kwa mafungu
niliamini yeye ndo fungu langu
aahh nikisema sana eti nnagubuu
ww nenda akulinde molah waangu
licha ya kunfanya dodoki