Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2021

Lyrics

Katu ft. Ruby - Platform

...

platform


Vurugu Amani Ziwe Za Mapenzi

Yote Naelewaaaaa....Nisije kupa mtima

Mwisho ukaniliza Alafu Ukapoteaaaa

Mithali Tamu Kwenye Mapeenzi

Yote Nshahadithiwaa Aaah

Hasa Ni Kipi Tena Unaweza sema Na Nkakuelewa......




Mmmmmh Legeza Kamba Kidogoooo

Nipe Chance Tuongee Ongee......

Maana Mazima Nshavaba Siyo Uongo

Tena Punguza Hasira Za Mbogo

We Kubali Niwe Naweeeee

Mwenzako Nikipenda Nimependa

Siyo Uongoooooo.............



Huna Lolote Na Zako Tamaa...Akili Yako Inawaza tu zinaaaaaa.....Usije Nivuruga Sikupendwa Sina Habari Mie


Unavyohisi Hivyo Sivyo Mama.....Kusema Ukweli Nakupenda Sanaaa.....Yaan Kama Ukanipenda Na Ni kakupenda Mbona Utaenjoy.....oooooh ooooh Katu



Mwenzako Kwenye Mapenzi Katu sina Ham Nayoooo....katuu Katuuuu ....Maana Nishalia Ni Kaumizwa Mapenzi Haya....Katu Katuuuuuuu



Basi Nikubalieee...Uwe Na Mie...Utaenjoy

Katuuuu....katuuuuu......Labda Ulie Tena Usipopendwa ooooh Ndiyo maana Unajutia....aaaaaaah



Wacha Leo Nikujuzeee.....Kinywa Hunena Ila moyo unapenda...Yale Ya Nyuma Yapuuzee Mshika Mawil Na Moja Humponyokaaaaaa....nisikize


Hapana Mwana Hapana Ndoo...Ukweli Hakuna Jipyaaa.....Nishatapatapa Na Roho Mapenzi Yakaniliza....Tena Nikipya Sa hicho unaweza kubadilisha....Maana Mapenzi Donda Roho Na Mwisho Kuharishaaaaa


Acha Mazao Niyakwangulie....Na Kipindi Cha Msimu Nikapalilie...Na Moyo Wangu Unakungojea....Amini we ndo Wangu kufa kuzikana



Huna Lolote Na Zako Tamaa....Akili Yako Inawaza Tu Zinaaaa....Usijenivuruga Sikupendwa Sina Habari mieeeee.....Unavyohisi Hivyo siyo mama....Mbona Mm Nakupenda Sanaaaaaaaa


Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status