Chuki Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Chuki - Platform TZ
...
Dalili ya Mvua mawingu na mapenzi n vita ndo nikeambie nilisha pigana tunguli kusaka aman ya penzi langu ilaaa haikupatikana najua ulinivisha na kilemba cha ukoka nikaamini ni kata na natambua haya mapenzi ni vitaa mazima ukakata na shinaa sitaki kuamini mapenz upofu mana kwengine nitapenda na japo na moyo ulinipa makovu adi na nuru ikazimaa sitak kuamini mapenzi upo mana kwengne nitapenda iyeeee eeee japo ulinipa makovuuuu uwoo woo chuki chukiiii chukiiiiii chukiiiiii yeeee yeeee