Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

VASHA - Magix Enga

...

wacha uyo boy ajibambe na passion leta hio gin

(leta)

enda kwa boot nina konyagi leta hio gin

(niko bash)

hakuna rules mrembo kwa vasha shukisha jeans

so wacha kelele wacha kelele wacha kelele weeee

wacha uyo boy ajibambe na passion leta hio gin

(leta)

enda kwa boot nina konyagi leta hio gin

(niko bash)

hakuna rules mrembo kwa vasha shukisha jeans

so wacha kelele wacha kelele wacha kelele weeee

skia venye na bonga sifiki breakthrough juu dame ako session

(yeah yeah)

dj ni nani hizo mangoma zirudi rotation

(pull it pull it)

kwani ni kesho si hatuja kuja kucheki magari (yeah)

wacha kubonga ambia serikali ikupatie kazi

dame amekatika sana make-up kutoka amekaa kimani

unaeza kuwa na muhadhara kujipata na hii kitu kejani

wacha ni change location nisi-lewee nione mali ni safi

ama nichome kigodee zii zitanishow nimpee nafasi aaah (haiwezi)

wacha uyo boy ajibambe na passion leta hio gin

(leta)

enda kwa boot nina konyagi leta hio gin

(niko bash)

hakuna rules mrembo kwa vasha shukisha jeans

so wacha kelele wacha kelele wacha kelele weeee

wacha uyo boy ajibambe na passion leta hio gin

(leta)

enda kwa boot nina konyagi leta hio gin

(niko bash)

hakuna rules mrembo kwa vasha shukisha jeans

so wacha kelele wacha kelele wacha kelele weeee

vile nganya inatoka kihuti inabidi ngeus akwame na chuma

hakuna kujuana majina kama umeiva mate lazima (jooh)

hii ni subaru inalogo ya bimmer vile utapigwa si utazima.

dame yako ameniomba viatu tukaingia kwa tent nkampiga mafillas

but

minimesota yes lakini siezi piga kitu imechoka aah.

na hapa ni vasha tings ngoko inapigwa hadi na machokaa

wacha uyo boy ajibambe na passion leta hio gin

(leta)

enda kwa boot nina konyagi leta hio gin

(niko bash)

hakuna rules mrembo kwa vasha shukisha jeans

so wacha kelele wacha kelele wacha kelele weeee

wacha uyo boy ajibambe na passion leta hio gin

(leta)

enda kwa boot nina konyagi leta hio gin

(niko bash)

hakuna rules mrembo kwa vasha shukisha jeans

so wacha kelele wacha kelele wacha kelele weeee

wacha uyo boy ajibambe na passion leta hio gin

(leta)

enda kwa boot nina konyagi leta hio gin

(niko bash)

hakuna rules mrembo kwa vasha shukisha jeans

so wacha kelele wacha kelele wacha kelele weeee

(Magix Enga kwenye beat)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status