Boychild Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Boychild - Magix Enga
...
boy child boy child Aki una umia
boy child boy child Aki una Lia
zile vitu we boy child hu pitia
ni mingi lakini we don't strees we tulia
juu unajua mwana ume ni kuvumilia
kupambana na hali yake si kulia
mangori mangori kushoto na kulia
lyrics by joseph alex