NIAMINI Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
NIAMINI - Magix Enga
...
oyaa yaa yaa
(sijachokaa aah)
.....magix enga... on the beat...
ninachoomba ni uniamini tu
muda umepita nitakuja tu
hata kama unipe mwaka
(nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
ninachoomba ni uniamini tuu!!
muda umepita but am coming soon
hata kama unipe mwaka(nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
my beiby girl you know
ukiwa mbali ninaumia you know
kwa kila ndoto nakuona uko ndani
nakutamani tena mami nko mbali
i wish you know vile nahisi kama sijakuona
mapenzi ugonjwa lini nitapona aaah!!
chorus :ninachoomba ni uniamini tuu!!
muda umepita but am coming soon hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)nilichokisema nitasawazisha
aah!napitia mapicha zangu na wewe
nawish hadi ningeondoka na wewe
sijatafuta siwezi pata kama wewe