Mambichwa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Mambichwa - Magix Enga
...
Yeah !! Mambichwa ,
shhhhhhh aaaahaaaa
Mambichwa
mambichwa
magixengaonthebeat
Mambichwa
nko na bash
kuingia kam na G-bag
Na kumejaa sijui hata majina .
Unaitwa nani ??
"nilimalizaa kusoma"
Anajibu vitu ata sijamuulizaa .
Ako na kibenje ndani imejaa manyongii
Ako na mambichwa ,anasema ye ni pedi
Ushaichoma ukaskia tumbo kwa mgongo
" Aii ziii ziii"
Unambeba ukiamka ni ongo`ngo
zimenishika najiona nko na doow
kwa mfuko ,aiyayayayayaya
kumbe ni jaba ...
zimenishika najiona nko na doow
kwa mfuko aiyayayayaya
kumbe ni jaba ..
YEAH Mambichwa
shhhhhhh aaahaaaa
mambichwa
mambichwa
mambichwa