Kama Si Mkono Wako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kama Si Mkono Wako - Dr. Ipyana
...
mwamba yesu mwamba acha nitangaze sifa zako*4
kama si mkono wako (ooh) mkono wako ningekuwa wapi?*3
DANCE
nimesimama juu yako
umeniweka mahari pa juu
umenitenga na dhoruba na dhoruba na dhoruba
umeniweka mahari pa juu
nimesimama juu ya mwamba palipo na nafasi (eeh eeh) umeniweka mahali pa juu umenitenga na dhoruba na dhoruba na dhoruba eeh eeh (bwana yesu) umeniweka mahali pa juu*2
kama si mkono wako (ooh) mkono wako ningekuwa wapi?*2
kama si msalaba wako (ooh) msalabawako ningekuwa wapi?
kama sihuruma zako (ooh) huruma zako ningekuwa wapi?
kama si rehema zako (ooh) rehema zako ningekuwa wapi?
DANCE
kama si mkono wako (ooh) mkono wako ningekuwa wapi?*2
umenitendea umenitendea
umeniweka mahali pa juu
umeniinua umeniinua umeniweka mahali juu*2
kama si mkono wako (ooh) mkono wako ningekuwa wapi?*2