Umestahili Heshima ft . Remnant Bertha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Umestahili Heshima ft . Remnant Bertha - Dr. Ipyana
...
bwana kwako kuna Kila jibu la Kila swali la moyoni
Jina lako oh la hajabu uh
hakuna mwingine eh
kama wewe eh 2*
Umestahili heshima na utukufu oh 4*
umestahili heshima na utukufu oh 5*
umestahili heshima eeh eeh
umestahili heshima ooooh
umestahili heshima hallelujah
ume umestahili wewe Bwana
umestahili heshima na utukufu oh 4*