Niseme Nini Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Niseme Nini - Dr. Ipyana
...
thank you jesus
uliyo yatenda kwangu ni mengi
shuhuda zako hazielezeki
umefanya hili.. umefanya lile
umenipa jinaaa
Baba nina kushukuruu
uliyo yatenda kwangu ni mengi
shuhuda zako hazielezeki
umefanya hili umefanya lile
umenipa jina
Baba nina kushukuruu
eeee babaaa........
CHORUS
Niseme nini siwezi kueleza
Nimekuja....
Baba nina kushukuruu
umefanya mengiii....
Umefanya mengi siwezi kuelezaa
eee babaaa....
Baba nina kushukuruuu
nikulipe nini...?
nikulipe nini kwa yote umetendaa
baba yangu.......
Baba nina kushukuruu
nikulipe nini...???
nikulipe nini kwa yote umetendaa
weee Baba..
Baba nina kushukuruu
Baraka??
Baraka zako haziesabiki
wema wako hauzoeleki
umefanya hili umefanya lile
umenipa jina
Baba nina kushukuruu
mwambie tena baraka zako??
Baraka zako haziesabiki
Wema wako hauzoelekii
umefanya hili umefanya lile
umenipa jinaa,Baba nina kushukuruuu
oooh niseme nini Babaaa...
Niseme nini siwezi kueleza
Baba nina kushukuruu.
hey niseme nini....???
niseme nini siwezi kuelezaa
bali nina kushukuruu.
Bwana niseme nn??