Hadithi Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2009
Lyrics
Hadithi (feat. Mr Mim) - Alikiba
...
Uliambia unanipenda sana nikusaidie, roho yako inadunda ukiniona nikuhurumiee eeh, kwa mambo mengi uliniumiza roho kwa uyaonayo tabia yangu pia ilikuvutia ikawa ndo hivyo ooh
kama dhumuni ilikuwa mapenzi kupenda kwa dhati is not ezzy
kuna wazushi na wandau siku hizi mapenzi ya kweli bila hirizi,
Nami nadhani hukuniamini kwa yangu imani sema na mimi basi x2
Chorus
Hadithi na hadithi ya hadithi leoo (aaaaah)
Hadithi na hadithi ya hadithi tamu ( uongo njoo) x4
Dharau na matusi yote nilivumiliaaaa wakiwemo marafiki wote wakishuhudiaaaa, heshima ya mapenzi pale pale japo hujaridhia ugomvi wetu faida usiwape walihudhuria
kama kupenda ni dhambi mi basi narudi zangu kwa Mola niombe radhi kwani nahisi kama mi ni mkosaji na ningependa kwa mtoto wa kijiji
Nami na dhani hukuniamini kwa yangu imani sema na mimi basi x2
Chorus
Hadithi na hadithi ya hadithi leoo (aaaaah)
Hadithi na hadithi ya hadithi tamu ( uongo njoo) x4