La La La ft. K2GA, Abdukiba, Vanillah & Tommy Flavour Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
La La La ft. K2GA, Abdukiba, Vanillah & Tommy Flavour - Alikiba
...
yogo on the beat girl you know ooh, umechukua my mind my body and my souul,uuuh wewe ndo kipenda rohooo, uzuri Ulionaoo unawaka waka ooh rii Tunavyo match match uuh.. Mungu azidi kubless.... Ona Nko baridi mwepesiii... Wetu shahidi mwenyezi.. We ndo wangu drevaa Kokote nitaendaa... Usafiri nyongeza, mi n you Nitakupenda mpaka kufa Mahaba kutwa kuchaa Wachawi wataisoma namba... Wew only youuu... La lala lalala la lalala la lalala Oooh laa lalala la lalala la lalalaa Oooh laa lalala la lalala la lalalaa ×3 ...If you club sweet Love unanichanganya You You Ni Sinyoorita Kila Mara Unanipa Mood..Unanikosha Roho Baby Shikamooo..Shikamoo,Wanipa Raha Zangu Baby Give me More ..give more, Mwili wote ni Mwepeee Raha Juu Tunapeana ..Ahadi yangu ya Pekee..mimi nawe Tutaoana..We ndio wangu derevaa..kokote nitaendaa..tusafiri together..Me and Youu..nitakupenda mpaka Kufaa mahaba kutwa kuchaa..machali wataisoma number forever me and you..La Laa laa..ooh likiwaa la la la laaaa ×3 ..Ah oh shore ma woman unavyokatika Tammy Yoo.. go shore ma woman unavyokatika Tammy yoo ..Unanikosha roho baby Shikamoo..Shikamoo Wanipa Raha zangu baby give more..Give me more ..La laa laa ..Ooh la laa laa laa ohh laa laa laa.