Unaniona Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Unaniona - Walter Chilambo
...
Kama Mungu angechagua
Watu wake mi nisingekuwepo duniani
Kama Mungu angechagua
Watakatifu mi nisingekuwepo duniani
Mi ni binadamu wala si malaika
Mengi ninakosea na kukuchukiza
Ninafanya mambo yasiyostahili
Nimevuruga vuruga mipango yako wanihurumia
Mbele ya macho ya wanadamu
Nilikuwa nikijificha
Kumbe wewe wananiona
Kwa kujifanya mtakatifu
Tena bingwa mkarimu
Nilikwa mnyenyekevu
Tena mpole sana
Kwa kujifanya mtakatifu
Tena bingwa mkarimu
Kwenye ibada mnyenyekevu
Tena mpole sana
Kumbe Mungu unaniona ee
Macho yako yananitazama
Sikio lako yanisikia
Siwezi jificha
Kumbe Mungu unaniona ee
Macho yako yananitazama
Sikio lako yanisikia
Siwezi jificha
Eeeeee eeh
Sasa nimetambua mbivu na mbichi ni zipi
Sasa ninaelewa njia salama ni wapi
Na nna nimejua bila ya wewe sifiki
Hata nikila pasipo neno lako sishibi
Neema yako (ila kwa neema yako)
Upendo wako (kwa upendo wako)
Rehema zako zimeniimarisha tena
Neema yako (ila kwa neema yako)
Upendo wako ( kwa upendo wako)
Rehema zako zaniimarisha tena
Mbele ya macho ya wanadamu
Nilikuwa nikijificha
Kumbe wewe wananiona
Kwa kujifanya mtakatifu
Tena bingwa mkarimu
Nilikwa mnyenyekevu
Tena mpole sana
Kwa kujifanya mtakatifu
Tena bingwa mkarimu
Kwenye ibada mnyenyekevu
Tena mpole sana
Kumbe Mungu unaniona ee
Macho yako yananitazama
Sikio lako yanisikia
Siwezi jificha
Kumbe Mungu unaniona ee
Macho yako yananitazama
Sikio lako yanisikia
Siwezi jificha
Eeeeeee eeh