Moto Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Moto - Walter Chilambo
...
ehhehhhh eeehhhh ehhhhh
sijawai ona zaidi yako shama, sijawai kuona kama wewe bwana, sijawai kuona sifa za lako jina,simba kabila la yuda ooo mwamba unayefanya maajabu yaliyoshindikana kwa jina lakoo,eeeh unayetendaa yasiyowezekana aeeeh
wewe unayeponya viwete wakatembea
wewe unayeponya vipofu wakaona
tena unayeponya viziwi wakasikiaaa
na Mimi masikini wanipa habari njema yaani mambo (moto moto) (moto)
kila niinapo piga goti unanijibu Baba,ninapo mwaga machozi unanifuta Baba, hata wakati wa shida taabu na yale mabaya ujawainkuniacha Baba daima upo upande wangu,
nitalishika neno lako lisiniponyoke lisiniponyoke lisiniponyoke, Nita ziimba sifa zako daima milele daima milele lele le lele
unayefanya maajabu yaliyoshindikana kwa jina lako eeh unayetendaa yasiyowezekana aeeeh
wewe unayeponya viwete wakatembea
wewe unayeponya vipofu wakaona
tena unayeponya viziwi wakasikiaaa na mimi masikini wanipa habari njema yaani mambo
(moto moto), (moto)kīla kona ni (moto)fire
yeeesu kīla kitu kwake moto amewasha
roho mtakatifu ametawala mapepo yanadanganya eeeeeh oooooh eeeh
ale Baba uinuliwe uinuliwee Yesū uinuliwe uinuliwee ninwewe we ni Baba wa huruma we mwingi wa rehema we ni mwingi wa neema ale Baba uinuliweeeeeeeeee bae and nae nae nae nae nae nae nae nae nae nae nae nae nae nae nae nae eeeeh
MAPEPO YANADANGANYA...
Lyrics by Kally Mūtavanya MOTO by Walter Chilambo....Thank you