Unafaa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Unafaa - Walter Chilambo
...
macho yameona na tena nimesikia Habari njema kwangu moyo unashauku yakukuona zaidi bwana wangu nina kiu kiu isiyokata aah kama nipo jangawani naona vumbi tu nahitaji chakula cha roho yangu iniponye mana nipo jangwani nakuhitaji...... ukae na mimi