Only You Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Only You - Walter Chilambo
...
Iyee iyeee Mmmmmhhh Maisha yangu yana wewe mungu
Tumaini la moyo, kwako mimi nimeliweka
Msaada Wa karibu bwana, nitakusifu wewe tu nanitakutuza
Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
Gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbii ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai umenibariki
Only you, only you Only you, Jesus Elishadai Only you
My God Only you Jesus
Ni wewe unanitosha
Ni wewe unaefaa, my god
Only you
Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe
Bali bwana upima mioyo
Mawazo tuliyonayo nafaham twaweza kujiona watakatifu
Ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu
Tujinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele Kwa kumtumikia yeye tu
Yeye anaponyaa, anaokoa halo halo
Kwangu ni mwaminifu huyu Yesu
Nitapolemewa na mizigo magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
Gongo lako na fimbo yako vinanifarijii bwana
Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbi ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, ukanibariki Iyee Only you,
Jesus Simba wa yuda Only you, only you my God
Hakuna kama wewe only you nitang'ang'ana nami na wewe Jesus
Jesus only you, ni wewe pekee yako tu
Eehhh only you baba wa huruma ehh
Jesus mwingi wa rehema ehh only you
Hakuna kama wewe my God
Mwenye kutoa buree only you
Unayetupenda Jesus, only you
Yesu wangu My god, baba yangu