Sijaona Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sijaona - Walter Chilambo
...
ahh
thank you Jesus
thank you Lord
hallelujah
(good-music)
sijaona kama wewe.., sijaona
sijaona kama wewe.., bwana
sijaona kama wewe.., sijaona
sijaona kama wee.., sijaonaa..
sijaona kama wewe.., sijaona
sijaona kama wewe.., bwana
sijaona kama wewe.., sijaona
sijaona kama wee.., sijaonaa..
nmekukimbilia wewe ilinisihaibike na kinywa changu kinene,,,,utukufu kwako mileele nisiwe mbali na uso wako,, na kweli yako inifunikeee Giza litapotanda Nuru yako inimulikee ,
,,,nitakuimbiaaa zaburi wimbo wa moyo wangu sitoacha kukusifu wewe Mungu wangu,,, tenah Kwa wingi wa fadhili na wema wako kwangu utadumu milele maishani mwangu uuuh
sijaona kama wee.., sijaonaa
sijaona ma.a weweee bwana
sijaona kama weweee sijaona
sijaona kama wewe ,,sijaona
Nitatangaza ushindi,,asubuhi na mapema aah maana vita yangu wewe Yesu ni wewe umenishindia na lile vazi la aibu ukanitoa ukanivika la heshima aah niseme nini bwana aah hakuna kama wewe eeh sijaona kama wee.., sijaonaa