Usinipite Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Usinipite - Walter Chilambo
...
Eh bwana nainamisha kichwa changu
Nina kwabudu weeh
Na tena nainua mikono yangu
kukuadhimisha weeh
Na ninashuka kwa unyenyekevu,,
nadhani Palo
mana majibu ya maswali yangu Baba!
nitapata kwako eeh oh
kwanza nahitaji rehema zaako
unisaifishe bwana
kwa yale nnayo yajua na nisio yajua
niwe Safi bwana ninaomba neema yako
na kibali chako juu yangu eeh
nitembee kifua mbele yesu uh
unapozuru wengine usinipite
unikumbuke usinipite ,maombi yangu
usinipite baba uyakumbuke usinipite
yakatizama jaribu usinipite, uniguse
usinipite ingawa mi si mkamilifu
usinipite
unikumbuke
usinipite
natamani nikuone, yesuniguse vazi lako
natamani niwe batimayo, nifumbue macho
unifundishe
mana we mwalimu wa Imani
tapita salama, mana akili zangu
zimefika mwisho, tumaini lipo kwako
bwana na unijaze roho wako mtakatifu
ashike fahamu zangu niishi niki kulingana
wewe bwana aah, mana wajuaninayopitia
nahitaji huruma yako eeh mungu
kadiri ya fadhili zako usinipite ninaomba
neema yako zaidi nisimame nitangaze
uzuri wako bwana eeh yesu uh
unapozuru wengine
usinipite
unikumbuke
usinipite
maombi yangu usinipite baba ah
uyakumbuke usinipite
nyakati za majaribu
usinipite
uniguse
usinipite
ingawa me si mkamilifu
usinipite (Baba)
unikumbuke
usinipite
mana hakuna nguvu ipitayo jina lako
usinipite
ni wewe unaweza
usinipite
navunja maagano yote
usinipite
nikumbushe
usinipite
adui ni mkali usinipite
eeeh yesu ntakuomba
usinipite
ninapo kosa tumaini
usinipite
unikumbuke (Baba)
usinipite