Najivunia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Najivunia - Walter Chilambo
...
.......
{Love Music}
Hivi kuwa na mali, magari ya kifahari
Bila amani {unajivunia nini?}
aaaaaaah
Pesa nyingi nyumba na biashara bila amani....
yeeeiiiyeeeee
lallalaaaa
Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako
kwa maumivu tena umeshikilia imani zakoo
wamsahau mungu eti unajivuna ni nguvu zakoo
Na shule umesoma tena unajidanganya ni akili zakoo
{poleeee~e}
Duniani si pa kujivunia jina
wala mavazi ya heshima
Bali neno la uzima litatuongoza vyemaa
Mwenzenu mimi jamani
Najivunia kuwa na yesuu
Vya dunia nimeviacha mbali
Najivunia kuwa na yeye
Yesuu peke yake anasimama
Najivunia kuwa na yesu
Mfalme wa wafalmee
{najivunia yesu}
Najivunia kuwa na yeye
..........
Yeye ni mwalimu wa walimu
ananifundisha vyema
Yeye ni tabibu wa karibu
napata tiba njema
yeye ni dereva {dereva}
anazijua njia zangu baba ooh
yeye ndiye shujaa
anishindia vita yangu babaooh
Si mali kitu kama
unaishi unalia ndani yako
kwa maumivu tena
umeshikilia imani zako
wamsahau mungu
eti unajivuna ni nguvu zako
Na shule umesoma tena unajidanganyaa ni akili zako
poleeeeeeeheeeee
Duniani si pa kujivunia jina
wala mavazi ya heshima
bali neno la uzima
litatuongoza vyema
Mwenzenu mimi jamani
najivunia kuwa na yesu
vya dunia nimeviacha mbali
najivunia kuwa na yeye
yesu peke yake anasimama
najivunia kuwa na yesuu
Mfalme wa wafalme
{najivunia yesuu}
najivunia kuwa na yeyee
Kwa mana hii mungu
aliupenda ulimwengu
akamtoa mwanae wa pekee
ili kila mtu amwaminie asipotee
bali awe na uzima wa mileleeee
oooohhh~ooohoo
najivunia kuwa na yeeeeeeeee
mwenzenu mimi jamani
najivunia kuwa na yesu
vya dunia nimeviacha mbali
najivunia kuwa na yeye
yesu peke yake anasimama
najivunia kuwa na yesu
mmmh mi natembea kwa
maringo~ngo~ngo~ngo...
najivunia kuwa na yeyee
.........
{walter}
....***....****.....****.....**.*.**....*.*.....*****...
Lyrics;Joshua Bundalah