Neema Yako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Neema Yako - Walter Chilambo
...
(Love Music)
Umenitoa mbali kusikojulikana
Kwa neema yako isiyosemekana
Umenitoa kule kusikojulikana
Kwa upendo wako usiosemekana
Ni muujiza mi kufika hapa
Ni muujiza mi kuwa hai
Ni muujiza kupendwa na wewe Yesu
Ni muujiza kusimama tena
Si kwamba mimi nimetenda wema sana
Si kwamba mimi ni mtakatifu sana
Si kwamba mimi ni mnyenyekevu sana
Si kwamba niko sawa sawa sawa sana
Ila (ni neema yako Bwana) neema yako Bwana
Ni neema yako Bwana, neema, neema yako baba
Ni neema yako Bwana, uuuh Aiyelele lele lele
Ooh ni neema yako Bwana, neema yako, neema yako Bwana
Duniani nimekutana na mengi
Tabu na misukosuko
Kuishiwa na kuchoka
Duniani nimepambana na vingi
Kutengwa na kukataliwa mimi yeah
Ninaona ajabu hukuniacha nilivyo
Ooh ajabu hukunipungukia Yesu
Si kwamba mimi nimetenda wema sana
Si kwamba mimi ni mtakatifu sana
Si kwamba mimi ni mnyenyekevu sana
Si kwamba niko sawa sawa sawa sana
Ila ni neema yako Bwana, neema yako Bwana
Ni neema yako Bwana, neema, neema yako baba
Ni neema yako Bwana, uuh Aiyelele lele lele
Ooh ni neema yako Bwana, neema yako
Ni neema yako Bwana, neema yako, ni muujiza
Ni neema yako Bwana, ni muujiza
Yesu unaniwazia mema
Ni neema yako Bwana
Mazuri unanitendea, ni muujiza
Ooh ni neema yako Bwana
Ni muujiza mmh...
(Walter)