Too Much Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Too Much - Darassa
...
classic music ehhh amister Dtouch. .. wanasema nimechange nimepitia mengi plz nipeni break.
nani rafiki nani adui...nani mpenzi nani real nani fake
kunidiacuss
wakutoa wakunipa maksi
mvua jua hamtak za wapi u people talk too much
mwengine atakutafuta kama ana deal
mwingine atakukuta tu umechill
akaleta maneno ya kiswahili
atakujua unalipaje bill
mwengine atakutag mwengine haweki wazi ye ni hater tu
kweli ubinadamu kazi wengine mtanipendaga nkisepa
za kuniletea shazi......too much
pigo za kipaparazi..too much
tantali tantalila....its too much
aaaaah u people talk too much
oh no no no no no....too much
nsinywe chai..nsinywe maji.....too much.
tantali tantalila too much aaaaah
u people talk too much
too much×6
usingekua nnaye church...watu tungemwagishan sna radhi
wengine washikaji....ukigeuka mgongo wauaji
the kuleta mapicha pich longo longo
bongo wanamindisha mambo madogo
wanaweza kukufelisha ata michongo
ndo mana malaika wakaeka zogo