Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2019

Lyrics

Wigi Linawasha - Khadija Kopa

...

Halima temu, na lulu mtinge

watu kama woteeee..hahaaaaa

aaaa naima omari zungu bibi yupo kazini


hamuishi kuvutana mawigi wenzenu wanatafta pesa, nini shida mbona hekaheka

mawigi yanawadondoka mnaona haya kuyaokota, si kwa misuko hiyo vichwa vya bata

mizengwe mitaani wanasutana, huyu na yule hawaongei wamechukuliana bwanaa

maajabu mengine sijwahi ona, mtu na wifi yake wamenunianaaaa x2

kwenye facebook jamani wanachambana

instagram wanatukananaaa

huku nako wake wenza wanarogana, kutaamaki ngumi mkononi wanadundana


yule akiwa na uso mbaya lakini umbo kaajaliwa

ata yule mwenye kubwa ziwa bwana amemzimikia x2

usinione mimi tipwa tipwa bwana ndani kanogewa, siwezi kumkufuru muumba aloiumba dunia, shukrani nyingi kwake mola mashallaah kanipatia mimi x2

jicho nikilinyanyua kopa wenye uchu wanakodoa kodo, mwenye wivu wajinyonge na mimi nawakomalia x2

wakikwambia sio kwa uso huo waambie sio kwa kukomaa huko, mwanamke umekomaa wewe mwenzetu unacheza judo

wakikwambia sio kwa umbo hilo waambie sio kwa kisigino hicho, mwanamke unakwato wewe wenzetu umekuwa beberu

mwanamke umekoma aanh, mwenzetu unacheza judo

mwanamke unakwato aanh, mwenzetu umekuwa beberu


naongea na nyinyi vijana mnaoniangalia eee, mashauzi yakizidi sana watu watakuzodoa eee x2

nawanyooshea vidole oooh mana mnajizuzua aaah nawaona nawaona mnadanga na dunia aanh dada wigi pole sana eee oooh majanga umejitishwa ila wigi kalivue oooh suka nywele tatu kichwa

kimekuponza kiherehere kaanze upya kaanze upya maisha, tamaa zako zako na kwere ndizo zime zimekubwebwetesha

mjini kuna ishu tele kauze ata sambusa, peleka ata kwa oda nairobi na mombasa

mjini kuna ishu tele kauze ata sambusa, peleka ata kwa oda uganda na kinshasha


wa mjini twajijua, twachambia hadi mizizi

kama mji huuwezi, usijeweka makazi

sisi tuko toka enzi za togwa, soda zimekuja juzi

utalia mamaaa arijojombe

aah utakiona kimbembe arijojombe

utadanga na dunia arijojombe

umefubaa akili mpaka mwili kiranga komo


mi nnaimba we unaongea uyo alewe tu kwa pesa zake mwache alewe tu kalewa kalichapa tembo mwache alewe tu kwetu ogopa kopa mia tisa inapendeza x2

kwetu sisi ogopa kopa mia tisa inapendeza

tunapambana na hali zetu ee mia tisa inapendeza

apa mjini hatumkeri mtu mia tisa inapendeza

atuishi kwa kiki mjini eee mia tisa inapendeza KAA ZEEEE


Jembe rama chui mpe povu prince faith mtoto wa mjini kakaaa zuberi mabaskeli raisi wa wadau waendeshe kariakoo

eenh mtunzi wangu wa ukweli young hassan alli mzee wa ngenga waambie uzushi wao wauweke pembeni eeh

aaah sisi dam dam

weeee omari zungu likambliooooo washa baba washaaa washaaaaaaaaa


basi aya, aya ivo hahahaaaaaa

habari zao tunazo ila zetu sisi hawana


nawigi yanamidude midude nawigi yanamidonda rohoni roho mbaya imemzonga x2

atapata tabu sana uyo na wigi yana midude

amechokwa na mashoga zake uyo roho mbaya imemzonga

aaah wigi linamuwasha uyo na wigi yana midude

una anavokuakua roho mbaya imemzonga


weee baba isaya usikate nyuzi ondosha takataka mjini aah

ukiwaona waite oooh waje x4

kinondoni waiteee

kigamboni waiteee

na temeke waiteee

wa ilala waiteee

ukiwaona waite oooh waje x2

mwamvita waiteee

zena zege waiteee

shombe shombe weeeh waiteee

rukia manara waiteee

ukiwaona waite oooh waje x2


we juma mkima mzee wa base mkono mzito pagawishaaa heheheeeee moto hauzimi

kidole juu aaah kidole juu

mama kidole changu kidole changu

weee mama kidole changu kidole changu

kikonda x4

chapati samaki x2

chapati chapati chapati chapati chapati chapati chapati chapatiiiiiiiiiiiii

aaah chapati samaki x2

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status