Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2018

Lyrics

Full Stop - Khadija Kopa

...

Oooh ooh aanh anh×2

hamisi simba wa mwananyamala wambie nakuja eeh

wamekataa kona wamekubali penati aaanh

ili wapate tabu kwa mara nyingine tena mimi ni mtu wa watu nisiejua kunong'ona

Jamani mapaplalazi mtajuta kuniona mnaingilia mapenzi tunayopeana na bwana

limeanza na mizizi penzi sio la mwaka jana ooh hatukuingia juzi juzi aanh jiji la dar es salaam

Tumelipandia ngazi tukashusha na vilima tumeyafika mapenzi joto joto lazizima

Atakae jitia bazazi ajue hana usalama tutamfungia kazi aache hata maana×2

Pili Haongwa lulu mtinge pamoja salamu klabu twende

kanizimikia kweli na hasa pale ninaporembua

Sasa wezi wa mabwana nawaambia ntawachakachua

Nawapa onyo full stop hii ni challenge fungia×2

Nyie type zenu za vichochoroni ndo zinazowafaa

Sio wangu mimi chumba na valanda tena gorofani ndo ninampatia×2

Rahma papaa Yusuph mtoto wa mama chichii wa mwananyamala kheee kheri kuvaa kandambili kuliko mdundo mbovu eeh

Full stop jipangeni upyaa hapa kwangu mmechemka inaradha sweat sana ooh ndo maana hataki kutoka hata mje na waganga lori zima himaya yangu keshafika mlilie mizimu na makafala na mchinje hata paka×2

halaa wajifanya unalipa hutafuti wako ukamweka wewe huwezi miliki yangu baby cute wa kiafrika

kwanza nipo pekeangu nimetulia sina shaka nimetulia na mumewangu mtoto wa uhakika

Sweetie Jafari Ally mtoto wa kikwele

halaa unajifanya unalipa utafuti wako ukamweka

mimi huwezi miliki yangu baby cute wa kiafrika

kwanza nipo pekeangu nimetulia sina shaka nimetulia na mumewangu mtoto wa uhakika

hivyo vikalolaiti vyenu vinavyowapa jeuri ntavipiga marufuku hapa×2

Mimi ninarangi yangu sitaki uso wa paka mimi ninarangi yangu na tena bado nawaka×2nakopa bado nalipa

Bandika Bandika mimi nabandua oooh

Tumependana halifa huna hunalolijua ooh

Bandika bandika mimi nabandua oooh

Tumependana wawili wewe unajichopeka

Hakutaki pesa mbili hujijui takataka

Bandika bandika mimi nabanduaaa ×2

Tunika tunika Thabiti Abdul originally kibodi Tanzania nambari one mfalme wa kibodi "onyesha×2

Sema sema Mussa Mussa mipango mfalme wa bezi Tanzania wamekoga kwa halita eeh

Raisi wa mbagala kaisi Mussa kaisi mwambie asihi damumbaya kila anaevaa koti jeupe sio wote madaktar wengine wauza nyama

Enrico saundi klabu

fulllllllllll stop aaaanh

jinja nambari one Saidi Mfiruka mkono wa shetani aupigigi eeeh watapata tabu sanaaa eeeh heeeyaa

Thabiti Abdul mtoto wa ilala Aaanh mfalme wa kibodi waambie eeh Saida mama lulu eeeh waambie usione wingi wa ndevu wakafikiria busara puti mtoto wa mombasa

Tumependana wenyewe maneno maneno ya nini×2

Eti dhara kwatibai kwani mnataka nini sasa ninawaambia kijana yuko makini wala haitaji kocha maksimu yupo chini haitaji mkanda wa jeshi kijana yupo makini kiwanda anachondani anachatua vifaa kama yupo marekani sweetie Jafari Ally kama yupo marekani

eeeh usiguse moto utakuunguza×2

Napajua hapa bongo pameenea vituko

nakujua kule zenji pameenea vituko

na mombasa mjini pameenea vituko

kinadada nakwambia mambo ni mpambaiko

kama hujajipodoa hapa bongo huna soko

Hapa bongo huna soko....

niazimeni nauli kule zenji kuna soko

kila kuweka kibunga Mombasa kuna soka

eeeh usiguse moto utakuunguza×2

Akina dada wa bongo kwakweli wajanja sana

kina dada wa mombasa na nyie wajanja sana

na kina dada wa zenji kwakweli wajanja sanaa

mkifika uwanjani macho mnatazamana sasa mkifika nje mnagombea mabwana

eeeh usiguse moto utakuunguza

wapenzi wangu nawapenda msifikiri utani i love you so much msifikiri utani nimewamiso msiifikiri utani×2 asa mnapichizika nnaposimama stejini pale mnapichizika nnaposimama uwanjani mngekua embe dodo ningewala na majani eeh eeh ningewala na majani×2

eeeh usiguse moto utakuunguza ×2

watoto zangu wa kiume nisikilizeni nyie mnaojiita masharo baro nisikilizeni nyie mabarobaro nisikilizeni nawaambia kina kaka nisikilizeni wanawake wanajua pale panapo utamu wamepamba maua ukikoaa gonoria ukimwi utakua eeeeh ogopa

eeh usiguse moto utakuunguza ×2





Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status