Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2018

Lyrics

ooooooh ooooooh

ooooooh ooooooh

henriko sound.....

fanya vitu


la mgambo limeshalia

stering wa picha nimeingia

maadui zangu nawabomoa

mbona mmelala ziko wapi kashkashi, nmesimama wima.......,ziko wapi mbwembwe zenu au.....

mnanijaribu kwa mwanga wa tochi

mnanyataa eeh mnangushii eeh

*com ogopa kopa

*com mama mukubwa eeh x2


maneno mengi humaliza vitendo wahenga walitwambia

na mbwembwe nyingi na kufata mkumbo ndivo mnajiharibia x2

ndo nyinyi mnotunza vya thamani wakati kwako kwako huna ata mbuni

ili upate upate sifa mitaani x2

mmejawa na kashfa nyingi oooh aibu nje ndanii ooh mikopo mnaodaiwa ooh mnajifungia ndani x2


mwanamke wa kisasa sikimbii madeni nikikutunza kabati ujue nnalo chumbaniiiii

nikikutunza kiti kwangu chini nikikutunza manoti ujue yapo waletiniiii x2

najua mnanifatilia kwangu kwangu naishi na nani nimekula sijakula ni siri yangu nyumbani x2


sitoki shobo (sina udugu na nyinyi)

ya nini shombo mie (nikanuka mitaani) x2

eeeh oooh aaah (ogopa kopa)

eeeh oooh aaah (mama mukubwa)

eeeh oooh aaah (ale kamata kamata)

eeeh oooh aaah (ale nyongesha nyongesha)

eeeh oooh aaah (sugua gaga)

eeeh oooh aaah


weeeee hahahahahaaa

eeeh kaka abdallah machale mzee wa matunda sikia hiyo

aaah aaah aunt latifa mamaa wakina mama wazazi yuko pamoja na wewe

weeeee omari zungu angusha mibuyu angusha mibuyu angusha mibuyu angusha

halima temu mama lulu mtinge wadau wa ukwee

young hassan alli director wa ogopa kopa mr pendwa peeeendwaaaa


ogopa kopa eeh

mama mukubwa eeh x2

pedesheeee adela kitemu hehee nisalimie fundi shaban dozi namba 54 atushonee mwenye madonge yapotee

heheeee twende twende twende twende twende

hiyooo eeh chinyama charles mtoto wa marehemu mkono wa upako wapake wapake


oyoyoyoyoyooooo x4 ooooooooh

mwaki kopa hahahaaaaa baba wa mirusho

ogopa kopa eeeh oyoyoyoyoooo

said base eeh oyoyoyoyoooo

omari zungu eeh oyoyoyoyoooo

na boooooooka oyoyoyoyoooo ooooooooh

oyoyoyoyoooo ooooooooh

eeh kassimu gama mavocha eeh chafya za mpishi hawezi kuzima motooo

wambie bagamoyo


chaulongo mpe chai ya bakuli eeh akinywa akishiba asimulie vizuri eeh

chaulongo mpe chai ya bakuli eeh

akinywa akishiba akuzulie vizuri eeh

unanimulika kwa mwanga wa tochi juani

wameshindwa makachero na camera mkononi eeh

wewe unipe kero unamamlaka ganiii x2



chaulongo mpe chai ya bakuli eeh (chaulongo huyo)

akinywa akishiba asimulie vizuri eeh (nenda kazue)

chaulongo mpe chai ya bakuli eeh ( aah aah aah)

akinywa akishiba akuzulie vizuri eeh

shughulini kwa watu waingia kwa mapana eeh

na matukutuku na nguo za kuazima eeh

bajaji na bodaboda na viguo vya kubana eeh

shughuli hujaalikwa wataka kutajwa jina eeh

shughuli hujaalikwa MC naitwa mama abdul kantangaze


chaulongo mpe chai ya bakuli eeh (akutangaze nani)

akinywa akishiba asimulie vizuri eeh (hata mtaa wa pili hujulikani)

chaulongo mpe chai ya bakuli eeh (huyo huyo huyo)

akinywa akishiba akuzulie vizuri eeh

unajitangza wewe mrs fulani eeh

mkewe yupo pembeni wajifanya humuoni eeh

mumewe kashatamka hakutai hayawani wee

mumewe kashatamka hakutaki wa zamaani old fashion


chaulongo mpe chai ya bakuli eeh (umepitwa na wakati)

akinywa akishiba asimulie vizuri eeh (aah aah aah)

chaulongo mpe chai ya bakuli eeh (eeh aah)

akinywa akishiba akuzulie vizuri eeh


eeeh vijana wangu wa kurupushani camp bagamoyo mpooooooo


kavimba mashavu kwa kula kitoweo kama paka la bwawani mume wa nduguyo wamtakia nini huna haya we kimeo x2

muwe wa shangaziyo wamtakia (huna haya we kimeo)

mume wa shogayo wamtakia nini (huna haya we kimeo)

oooh huna haya na huna ihsani (huna haya we kimeo)

aah huyo huyo (kaumia)x4

kipande cha nguru (kaumia)

kimemtoa imani (kaumia)

mume wa dadaye (kaumia)

eti anamwita honey (kaumia)

mume wa shangaziye (kaumia)

eti amwitia ndani (kaumia)

huyo huyo (kaumiaje)

huyo huyo (anajikata tu) x2

dokta mtanga na mwanza mshikamano camp aaah bibi glory na kati ya mwenge mama wa magril waambie namba ya bahati mtu hupewa na mungu


anajifanya mjanja kiberenge kaingia demani kakata tiketi ya basi .wenzetu kaingia botini (makubwa hayo)

roho mbaya wanapenda wenzao watote (kutwa kwa waganga hao)

roho mbaya wanapenda wenzao watote (aah mara sumbawanga hao)

roho mbaya wanapenda wenzao watote (ati juzi kaenda pemba)

saidi musa roho mbaya wanapenda wenzao watote (aah jana waenda tanga)

roho mbaya wanapenda wenzao watote (aah leo bagamoyo hao)

roho mbaya wanapenda wenzao watote (aya na mbagala hao)

roho mbaya wanapenda wenzao watote (kesho temeke hao)

roho mbaya wanapenda wenzao watote (aah wana roho mbaya hao)


wanichinjia bata mzinga kunifanya mi mjinga mwanichinjia bata mzinga kuniona mi mjinga

cheketu jini mbaya huyo (utamaliza waganga)

wewe kakukuta jina mbaya huyo (utamaliza waganga)

ana magamba huyoo (kambale) x2

ana masharubu huyoo (kambale)

ana teleza huyoo (kambale)

ana shombo huyo (kambale)

hukaa popote huyoo (kambale)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status