First Lady Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
First Lady - Khadija Kopa
...
Usishindane na watu hali yako bado duun🤣
Usicheke penye watu nyie msijinaadi x2
Asa mimi unipati katuuu ☺️mwenzio nna thamani x2
Mm wa xmesiii sishindan na wew muuni x2
Tafadhal tafadhaal usiniparamiee tafadhali usiniparamie ukome kiromo romo chaako x2
Tena usinijue juee..sina haja ya mpenz waako x2
Mimi sigombani na wewe nazijua siri zakooo chakula chako mwenyewee waomba jiran zakooo x2
Vipi nifanane na ww nami silambi mkopo
Naringa bodi yangu mwenyew sababu ya madiko diko.......unene nirojaliwa mie ndio wanipa ujiko
🤞🏻🤞🏻🤞🏻🤞🏻🤞🏻
Maringo yako buree unajisumbua bureee
Ashuo lako bure unajisumbua buree 🤣🤣
Ujijui ujijuui usijizuzue ujijui usijizuzue uwezi shindana na miee x2
Wala usinijue jue ee ukai nyumba moja na miie
Wala usinijue jue ee wala uchangii na miiie
Bwana ulonae wewee ananifata fata na mieee kaona umfai wewe unamambo usimzinguee x2
Nami sina haja nae rofa lako chukua mwenyewe.......bwana nimtakae mie muungwana na kuvaa ajue
Niangalie mie mwenyew first lady sio kama wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huna bei una beei bibi huna manaaa huna bei na auna mana utabaki ropoka ropoka
Huna bei huna beei shoga huna mana huna bei na huna mana utabaki ropoka ropoka
Mm kwa kasoro sinaaaa kote nimekamiliika x2
Tena nnazidi kuchanaa wewe una kashifikaaa pound natumia sanaa na dora za Americaaa x2
Nnapanda kushkayana sio toyota ya tangu mwaka ....jakuzi nakogea sana we wa sink nnakucheeka ..nimedhibitiwa na bwana sio ww wapatashika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣