Nauelewa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Nauelewa - Otile Brown
...
kinachoitaji moyo hata akili haiwezi baini
ila cha mtima cha moyo
hata kama sio kizuri
kwako nazama mazima haya!
sioni wala siambiliki haya!
nimekuchagua mtima thamani yako haina kifani
It's take two to tangle
sako kwa bako
tena unikumbate usiniache mi wako pekee ako x2
maana muziki nauelewa
baby nauelewa
muziki hatari nauelewa x2
nauelewa
nauelewa
sasa washa dololi washa
ooh washa
washa tumwone
mdomo wa wemba kwa mangu washa
ooh washa
washa tumwone
shingo ya rwanda kigali washa
ooh wash
washa tumwone
mauno ya uganda kwa kango washa
ooh washa
washa tumwone
chorus