Umedamshi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Mtoto umedamshi
Oh Nana Oh oh nana
Oh Nana Oh oh nana
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mungu kakuumba, au kakutengeneza
Unavyo damshi umenipendeza unanikosha unavyocheza
Niko juu ya ketepa na ma ndom Oh mom njoo nami nikupe form
Hakika mama nina mipango njoo nkushow
Kwanini sikukujua kitambo since before oh yeeeeah
Maana maaa weee mzuriiii ninakutaman, huna kiburi kakufunda ndan
Maana maaa weee mzuriiii ninakutaman, huna kiburi kakufunda ndan
Nina Imani yote ni kwa neema
mi na we kukutana Ma ni kwa neema Sio bure
Nina Imani yote ni kwa neema
mi na we kukutana Ma ni kwa neema Sio bure
Oh Nana Oh oh nana
Oh Nana Oh oh nana
Oh Nana Oh oh nana
Oh Nana Oh oh nana
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi
Mtoto unateke tena yenye matege
Na kiuno cha wembe unekata kama Chete love
Unakata ka machete loveeee

--- www.LRCgenerator.com ---