Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2018

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Niache - Diamond Platnumz

...

mmh eti nikuombee meema na baraka uzidi fanikiwa

siwezi kamwe wala

mmh

ni sawa na kuifosi sinema kuitazama na haijanifutia

lazma tu ntalala

oooh ooh

na kwa barabara ukipita nenda kulia ukiniona kushotoo..

staki hata tuonane

mmmh

usije wala ukanita donda vilia

utanichochea tu motoo

nisije kutukane

mmmh


kinachoniumiza nafsi kunisikitisha kwa watu kujishongondoa

kumbe mapenzi ya sabato wakati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa

we cement mi mchanga nkasema penzi tujenge lisije lowa

najitia mkandarasi naezeka mabati we chini kenji unabomoa..


niache niache niache

oooh niache (niache)

nipambane na moyo wangu (niache)

niaaache (niache)

mi moyo wangu unahasira(niache)

oooh niache (niache)

ooo oo oooh


nnajitahidi nisilale kwenye kitanda

huenda ntapunguza ndoto zako

mmmh

mwilini nnamachale utadhani mwanga

yote kuusahau uwepo wako

mmmh

laiti kama ngekuwa gari

ningekugonga barabarani

ama nyuki mtoa asali

nkung'ate sura wasiitamani

hivi we ungo ulivunja mwali

ama ulivunja sahani..!

kuniundia matimu kwa mitandao

vijembe vya kazi gani?


kinachoniumiza nafsi kunisikitisha kwa watu kujishongondoa

kumbe mapenzi ya sabato wakati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa

we cement mi mchanga nkasema penzi tujenge lisije lowa

najitia mkandarasi naezeka mabati we chini kenji unabomoa..


niache oooh niache

niache

mi moyo wangu unahasira(niache)

tena ukae mbali

niache (oooh niache)

niache

usiwapigie rafiki zangu (niache)

usithubutu hata simu yangu (niache)

choonte tafadhali (niache)

niaache


mmmh

ntakudanganya kwa tabasamu

ntakudanganya kwa kucheka

ntakudanganya hata kwa salam

(kwa salaam)

ila moyoni nakuchukia (nakuchukia)

ntakudanganya kukufollow (kukufollow)

ntakudanganya kwa comment (kucomment)

ntakudanganya kwa kulike picha ( na kulike picha)

ila siwezi kukuzimia

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status