Mwema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Mwema - Mercy Masika
...
wako mwana ukamtuma,duniani
Kisha na maana,nipate uzima,
jamani.
Wako mwana,ukamtuma duniani
Kisha na maana,nipate uzima,jamani eh
Ishara kwamba unanipenda zaidi
Hivyo nishaelewa,sifa nitakupa zaidi
ishara kwamba unanipenda zaidi
hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaid