Nikupendeze Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Nikupendeze - Mercy Masika
...
Whoa whoa yeeh
Yeeh , whooa eeh Still Alive
Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze
Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze
Naomba nifanane nawe – Yesu
Niwe jinsi upendavyo
nifanane nawe – Yesu
Niwe jinsi upendavyo
Niguse, nifinyange, unibebe
Niunde, nitengeneze, niwe kama wewe
Nikupendeze mmh hmm oh yee
Nikupendeze uuh uuh
Nikupendeze eeh eeh
Nikupendeze hmmm mmh
Familia yangu, marafiki zangu tuwe sawa nawe
Biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe
Familia yangu, marafiki zangu tuwe sawa nawe
Biashara zangu kila kitu changu
kiwe sawa nawe
Niguse, nifinyange, unibebe
Niunde, nitengeneze, niwe kama wewe
Niguse, nifinyange, unibebe
...