Utasaka ft. SEAN MMG Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2024
Lyrics
Utasaka ft. SEAN MMG - YBW Smith
...
alaaah ......skiza magimagi
wanashangaa wanashindwa hizi ni Nini
vijana wadogo wanaroga kama machizi
iza budaàh na hizo mangoma skatiki
utasaka juu na chini na utapata kamimi
utasaka ....utasaka na utapata ka mimi *3
utasaka juu na chini na utapata ka mimi
(alaaaaaaaah )
kuchora doba doh mtindo si udoo ....nilinili jooh na beat Kila area