Dance Ya Kudonjo (V6 Riddim) ft. SEAN MMG Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2024
Lyrics
Dance Ya Kudonjo (V6 Riddim) ft. SEAN MMG - YBW Smith
...
alaaa...
siucheki ..
Ati dance ya kudonjo ni dance ya maa..
dance ikishika unazungusha....
right to the left unazungushia...
hii ni dance ya maa...
ati dance ya kudonjo ni dance ya majuu
dance ikishika unazungusha mguu
right to the left unazungushia juu
ati dance ya majuu hii ni dance ya majuu ×2
nilimwita hey! kuja straight kilimani
msupa alibambika nikisema ye ni mali
nahang na maG' kaa ni form tunakill
hii ni doba safi na ni genge imetii
saa zingine ring shit kwa myke mi mzima
collabo sio kitu..kupop wanapiz
(wanakuaga wametii wakijiita wasanii)×2
na manzi ako daily insta , snapchat
chalii kama akitishia njugu na time
nilidate twin sisters wanafanana
lakini mi sidai diblo
mavitu ni ngumu kuwatofautisha
wote wasomali...Halima na khadija
unapimanisha ukitumiwa picha
but kitu real siwezi kuchanganyisha
napigia Shakira ati dance
Chorus×2
dance ya kudonjo ni dance ya majuu
dance ikishika unazungusha mguu
right to the left unazungushia juu
hii ni dance ya majuu huu ni dance ya majuu